Masimo, Dada na Kwintiliani
Masimo, Dada na Kwintiliani (walifariki Ozobia, Mesia, leo nchini Bulgaria, 286) walikuwa Wakristo wa Durostoro, leo Silistra, waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano.
Masimo alikuwa msomaji, Dada na Kwintiliani wanafunzi wake bora[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/93006
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |