Masimo wa Padova (alifariki 166 BK) anakumbukwa kama askofu wa pili wa Padova (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 141 hadi kifo chake.

Wat. Masimo na Oswadi walivyochorwa na Yohane Mbatizaji Tiepolo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Agosti.[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.