Masumbuko Lamwai
Masumbuko Mahunga Selasini Lamwai (alifariki Dar es Salaam, 4 Mei 2020) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania. Aliwahi kuwa mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi (1995-2000), halafu kwa kuteuliwa na rais akiwa amerudi CCM.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Masumbuko Lamwai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |