Matuu
Matuu ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Machakos ambao unakua haraka.
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 53,144[1].
Pia ni kata ya Eneo bunge la Yatta[2].
Tanbihi
hariri- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Matuu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |