Eneo bunge la Yatta


Eneo bunge la Yatta ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Machakos, Mashariki mwa Kenya, ni miongoni mwa majimbo nane ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa Kenya mnamo 1963.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Gideon Munyao Mutiso APP
1969 Gideon Munyao Mutiso KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Simon Kitheka Kiilu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Richard Matheka Kakoi KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Gideon Munyao Mutiso KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Gideon Munyao Mutiso KANU
1997 Francis P. Wambua SDP
2002 James Philip Mutiso KANU Mutiso aliaga dunia kutokana na mafuriko mnamo 2003 [2]
2003 Charles Kilonzo NARC Uchaguzi Mdogo
2007 Charles Kilonzo ODM-Kenya

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu
Ikombe 18,062
Katangi 10,972
Kinyaata 18,635
Kithimani 25,974
Kyua 11,950
Matuu 27,794
Mavoloni 17,446
Ndalani 22,152
Jumla 152,985
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Baraza la Utawala wa Mitaa
Kakumini/Central 6,085 Matuu (Mji)
Kithendu 3,930 Matuu (Mji)
Kithimani 4,549 Matuu (Mji)
Katulani / Kaluluini 4,145 Matuu (Mji)
Ikombe 6,693 Masaku county
Katangi / Kyua 7,411 Masaku county
Kinyaata 6,343 Masaku county
Mavoloni 5,817 Masaku county
Ndalani 8,072 Masaku county
Jumla 53,045
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri