Maureen Koech

Mwigizaji wa kike kutokea Kenya

Maureen Koech (alizaliwa 21 Mei 1989) ni mwigizaji, mwandishi wa nyimbo na mwimbaji wa Kenya. Anatambulika ndani ya Kenya pamoja na kazi zake KTN, Lies that Bind.[1]

Maureen Koech


Maisha ya awali hariri

Maureen Koech alikulia Nairobi, alienda shule ya upili iitwayo Nakuru kwa ajili ya elimu yake ya sekondari. Badaaye alijiunga Strathmore University kati ya mwaka 2009 na 2013, ndipo alipoandikishwa kusomea “Business Information and Technology’’ (BBIT) na baadaye aliweka ubia katika uugizaji .[2][3]

Kazi hariri

Kazi ya uigizaji hariri

Kazi yake ya mwanzoni  ; Strathmore University, Changing Times hariri

Maureen alianzaa kazi yake ya uugizaji akiwa ana igiza jukwaani katika Muungano wa Francasie .Akiwa na hofu kubwa juu ya idadi kubwa ya waigizaji , kulikuwa na Televisheni ya Kikenya ambayo ilikuwa ikionyesha mwendelezo wa zawadi za washindi bora mwaka 2012 Kalasha filamuTV . the.[4] Baada ya kujiunga na chuo kikuu cha Strathmore mnamo mwaka 2009, alijiunga katika shule ya sanaa ya uigizaji Strathmore ambapo alishiriki katika shughuli za uigizaji.[5] [6]

Marejeo hariri

  1. Lebogang Tsele. "Maureen Koech's biography". Africa Magic. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 2, 2016. Iliwekwa mnamo September 29, 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Mokko LinkedIn Digg". March 2020.  Text "accessdateDead link" ignored (help); Unknown parameter |fix-attempted= ignored (help); Unknown parameter |bot= ignored (help); Check date values in: |date= (help)[dead link]
  3. "Binding passion". Standard Media (SDE). July 25, 2012. Iliwekwa mnamo October 2, 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Maureen Koech's bio". Stage 32. Iliwekwa mnamo October 2, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "DRAMSCO". DRAMSCO Youtube. Iliwekwa mnamo October 2, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Maureen Koech feeling like she's the best". Zuqka Nation. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 4, 2015. Iliwekwa mnamo October 1, 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maureen Koech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.