Zawadi ni kitu anachopewa mtu bila matarajio ya malipo au kurudisha. Kipengee si zawadi, ikiwa bidhaa hiyo, yenyewe, tayari inamilikiwa na yule anayepewa. Zawadi inaweza kutaja kitu chochote kinachofanya mtu mwingine kuwa na furaha au huzuni, hasa kama neema, ikiwa ni pamoja na msamaha na wema.

Zawadi katika mti wa mkrismasi

Katika nchi nyingi, tendo la kubadilishana pesa, bidhaa, n.k. huweza kuendeleza mahusiano ya kijamii na kuchangia ushirikiano wa kijamii.

Wanauchumi wamefafanua uchumi wa kutoa zawadi katika dhana ya uchumi.

Zawadi zinawasilishwa pengine kwa wakati maalumu, kama siku ya kuzaliwa na, katika utamaduni wa Magharibi, Krismasi na matukio mengine.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zawadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.