Mayra Tatiana Ramírez Ramírez (alizaliwa 25 Machi 1999[1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kolombia ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL)[2] na timu ya taifa ya Kolombia.[3][4]

Ramírez mnamo 2023

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayra Ramírez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.