Mbandaka
ni mji wa bandari katika Mkoa wa Equateur wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
Mbandaka ni kati ya miji mikubwa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Iko kwenye ikweta kando ya mto Kongo.
Idadi ya wakazi ni mnamo 200,000. Mbandaka ni makao makuu ya mkoa wa Équateur.
Mji ulianzishwa na mpelelezi Henry Morton Stanley mwaka 1883 kwa jina la Equateurville. Jina likabadilishwa baadaye kuwa Coquilhatville na tangu mwaka 1966 ni "Mbandaka".
Uvuvi ni sehemu muhimu ya uchumi wa mji. Samaki wanauzwa hasa Kinshasa.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbandaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |