Mchangani
Mchangani ni jina la mahali penye mchanga, hasa mchanga unapochimbwa kwa madhumuni ya ujenzi.
Kwa maana ya pekee "Mchangani" inaweza kutaja:
- Mchangani (Tunduru) - kata ya Wilaya ya Tunduru - Mkoa wa Ruvuma, Tanzania
- Mchangani (Unguja Kaskazini) - kata ya Wilaya ya Kaskazini Unguja A - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania
- Mchangani (Zanzibar mjini) - kata ya Wilaya ya Mjini Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania
- Mchangani Shamba - kata ya Wilaya ya Kati, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania