Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi

6°10′00″S 39°15′00″E / 6.1667°S 39.2500°E / -6.1667; 39.2500

Ramani ya Unguja
Mahali pa Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi katika Tanzania
Mji wa kale kutoka juu.

Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 71000. Mikoa mitatu kati yake iko katika kisiwa cha Unguja.

Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ndizo Mjini, yaani Jiji la Zanzibar, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B.

Mkoa una wakazi 893,169 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 [1]. Walikuwa 593,678; Mjini 223,033 na Magharibi 370,645 katikasensa ya mwaka 2012[2].

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "2002 Population and Housing General Report: Urban West". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Machi 2004. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.