Melani wa Rennes (456 hivi – 530 hivi) alikuwa askofu wa Rennes (Ufaransa) miaka 505 - 530.

Sehemu ya mchoro wa ukutani katika kanisa kuu la Rennes ikimuonyesha Mt Melani (kulia) na Amandi wa Rennes.

Alishiriki mtaguso wa Orleans (511) na kuanzisha monasteri.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba.[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.