Melas (alifariki 385) alikuwa askofu wa mji na monasteri ya Rhinoclusa (leo El Arish, Misri, mpakani mwa Palestina).

Wakati wa utawala wa kaisari Valens (364-378), aliyekuwa mfuasi wa Ario, ilitolewa hati ya kuwafukuza maaskofu wote Wakatoliki. Yeye naye alifungwa na kuteswa kwa ajili ya imani.[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. A contingent of officers charged with carrying out this mandate came to Rhinoclusa to apprehend Melas. Upon entering the cathedral church, they saw a cleric in a worn, oil-stained cloak trimming the church's lamps. When asked by the officers where Melas was, the cleric promised to take them to him. Leading them into the episcopal residence, he served them dinner. Following the meal, he brought them water to wash their hands, after which he disclosed to them that he himself was the bishop Melas. Stunned by this news, the men admitted why they had come, but they were now intent upon letting him escape. Melas, however, insisted upon them proceeding with his arrest and exile, for he did not want to be excluded from suffering in company with his fellow bishops who had taken the same stance against Arianism as he had.
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.