Memno wa Misri alikuwa mmonaki jangwani[1] maarufu pia kwa miujiza iliyofanyika kwa njia yake[2][3].

Picha yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.