Merkuri wa Kaisarea

Merkuri wa Kaisarea (jina la awali: Filopatri; Kapadokia au Roma, 224 - Kaisarea wa Kapadokia, katika Uturuki ya leo, 250) alikuwa jenerali wa jeshi la Dola la Roma hadi alipojitambulisha kwa kaisari kuwa Mkristo. Hapo aliteswa na hatimaye kukatwa kichwa kutokana na imani yake[1][2][3]

Mt. Merkuri, mozaiki katika monasteri ya Hosios Lukas.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Novemba[4].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.