Merkuriali (alifariki 406 hivi) alikuwa Mkristo mwenye asili ya Armenia ya Kale[1] ambaye anatajwa kama askofu wa kwanza wa Forlì (Italia Kaskazini) aliyepinga sana Upagani na Uario[2].

Utukufu wa Mt. Merkuriali, kazi ya Guido Cagnacci, Pinacoteca Civica di Forlì.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki[3] na Waorthodoksi[4] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Vita Mercurialis (Biblioteca Hagiographica Latina, ms. 5932);
  • Sermo de vita sancti Mercurialis (Biblioteca Hagiographica Latina, ms. 5932b); (collocazione)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.