Metodi wa Olimpo
Metodi wa Olimpo (alifariki mwaka 311 hivi) alikuwa askofu wa Olimpo (Lycia) na mfiadini kutoka Anatolia (leo nchini Uturuki)[1].
Taarifa za kwanza juu yake ziliandikwa na mtakatifu Jeromu[2]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa.
Maandishi
haririMetodi aliandika sana na kwa ufasaha kuhusu masuala ya teolojia, akipinga uzushi wa wakati wake na hasa ule wa mafundisho kadhaa ya Origen.
Kwa bahati mbaya, vitabu vyake vimepotea kwa kiasi kikubwa. Kilichotufikia kizima kwa Kigiriki kinahusu ubikira (Symposion e peri hagneias).[4]
Kati ya matoleo ya maandishi yake kuna: Patrologia Graeca, XVIII; Jahn, S. Methodii opera et S. Methodius platonizans (Halle, 1865); Bonwetsch, Methodius von Olympus: I, Schriften (Leipzig, 1891).
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/58610
- ↑ De viris illustribus, sura 83
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Patrologia Graeca, XVIII, 27-220.
Marejeo mengine
hariri- Froom, LeRoy (1950). The Prophetic Faith of our Fathers. Juz. la 1. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-06. Iliwekwa mnamo 2016-06-14.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Patterson, L. G. (Lloyd George), Methodius of Olympus: Divine Sovereignty, Human Freedom, and Life in Christ (Washington: Catholic University of America Press, 1997).
Viungo vya nje
hariri- Albert Jahnius, mhr. (1865). S. Methodii Opera Et S. Methodius Platonizans (kwa Greek na Latin). Juz. la Pars I. Halis Saxonum, C.E.M. Pfeffer.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) At the Internet Archive. - Methodius of Olympus, On Life and Rational Action - English translation.
- Methodius of Olympus, De Cibis - English translation.
- Methodius of Olympus, De Sanguisuga (On the Leech) - English translation.
- Methodius of Olympus, De Lepra - English translation.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |