Milima Entoto ni safu ya milima ya Ethiopia (Afrika Mashariki).

Mlima wa Entoto

Urefu wake unafikia hadi mita 3,200 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri