Milima Teffedest ni sehemu ya safu ya milima ya Ahaggar nchini Aljeria (Afrika).

Mlima Garet el Djenoun Teffedest nchini Algeria

Urefu wake unafikia hadi mita 2,370 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri