Milima Tushar ni safu ya milima ya Utah (Marekani).

Urefu wake katika mlima Delano unafikia hadi mita 3,711 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima Tushar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.