Ahaggar (pia Uhaggar, Hoggar) ni safu ya milima ya Aljeria (Afrika).

Mlima Tahat, kilele kirefu kabisa katika safu ya Ahaggar

Urefu wake unafikia hadi mita 2,908 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri