Richa Adhia

Miss Tanzania 2007

Richa Maria Adhia alikuwa Miss Tanzania wa mwaka 2007.

Alizaliwa jijini Dar es Salaam tarehe 1 Mei, 1988 na kukulia mjini Mwanza, Tanzania.

Mama yake ni mtu wa Kisiwani Pemba, na baba yake ni mtu wa Morogoro, Tanzania.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richa Adhia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.