Mitri wa Aix (Thesalonike, Ugiriki, 433 - Aix-en-Provence, leo nchini Ufaransa, 466) alikuwa Mkristo ambaye inasemekana alikuwa mtumishi kisheria lakini huru katika Kristo; aliuawa kama mchawi kwa sababu ya muujiza aliofanya[1][2].

Sanamu yake katika kanisa kuu la Aix.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 13 Novemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.