Mjimwema (maana)
Mjimwema inamaanisha mahali pazuri panapokaliwa na watu.
Jina hili linaweza kutaja
- Mjimwema (Dar es Salaam), kata ya wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Tanzania
- Mjimwema (Makambako), kata ya mji wa Makambako katika Mkoa wa Njombe, Tanzania
- Mjimwema (Njombe), kata ya Njombe Mjini, Tanzania
- Mjimwema (Songea), kata ya Manisipaa ya Songea katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania