Mjimwema (Dar es Salaam)

Mjimwema ni kata iliyopo katika wilaya ya Kigamboni katika mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 17106.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 54,859 [1].

Historia

hariri

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Kigamboni - Tanzania  

Kibada (17109) | Kigamboni (17107) | Kimbiji (17101) | Kisarawe II (17104) | Mjimwema (17106) | Pembamnazi (17105) | Somangila (17102) | Tungi (17103) | Vijibweni (17108)