Mkoa wa Bélier
Mkoa wa Bélier (kwa Kifaransa: Région du Bélier) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Mkoa wa Bélier | |
Mahali pa Mkoa wa Bélier (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lacs |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Serikali[1] | |
- Prefect | André Ekponon Assomou |
- Rais wa Baraza | Jeannot Ahoussou-Kouadio |
Eneo[2] | |
- Jumla | 6,809 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 346,768 |
GMT | (UTC+0) |
Uko katika kitovu cha nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Yamoussoukro. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 346,768.
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Bélier" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bélier kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |