Wilaya ya Djékanou
Wilaya ya Cote d'Ivoire
Wilaya ya Djékanou (kwa Kifaransa: département de Djékanou) ni moja kati ya tarafa nne za Mkoa wa Bélier ulioko kitovu mwa Cote d'Ivoire.
Wilaya ya Djékanou | |
Eneo la Wilaya ya Djékanou. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Mkoa | Bélier |
Serikali[1] | |
- Prefect | Aka Sonoh Julie Epse Kablan |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 26,510 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 26,510.
Makao makuu ya eneo hilo ni Djékanou.
Wilaya ya Djékanou sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Djékanou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |