auto

Mkoa wa Cavally (kwa Kifaransa:Région du Cavally) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa Cavally
Mahali paMkoa wa Cavally
Mahali paMkoa wa Cavally
Mahali pa Mkoa wa Cavally (machungwa)
katika Cote d'Ivoire
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Montagnes
Serikali[1]
 - Prefect Kone Messamba
 - Rais wa Baraza Dagobert Banzio
Eneo[2]
 - Jumla 11,376 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 459,964
GMT (UTC+0)

Uko katika Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Guiglo. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 459,964.

Cavally kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:

.

Marejeo

hariri
  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Cavally" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.