Wilaya ya Taï

Wilaya ya Cote d'Ivoire


auto

Wilaya ya Taï (kwa Kifaransa: département de Taï) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Cavally ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.

Wilaya ya Taï
Mahali paWilaya ya Taï
Mahali paWilaya ya Taï
Eneo la Wilaya ya Taï.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Montagnes
Mkoa Cavally
Serikali[1]
 - Prefect Aka Kassi Bio
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 102,948
GMT (UTC+0)

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 102,948.

Makao makuu ya eneo hilo ni Taï.

Wilaya ya Taï sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo

hariri
  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.