Mkoa wa Hardap
Mkoa wa Hardap ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 67,998 kwenye eneo la 109,888 km². Mji mkuu ni Mariental.

Mahali pa Hardap katika Namibia
JiografiaEdit
Miji mikubwa ni pamoja na Walvis Bay na Swakopmund.
Picha za HardapEdit
Lambo la Hardap
Sossusvlei katika jangwa la Namib
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hardap kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |