Karabük ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki.

Manispaa ya Karabük


Mkoa wa Karabük
Maeneo ya Mkoa wa Karabük nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 2420 (km²)
Idadi ya Wakazi 200,508 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 78
Kodi ya eneo: 0370
Tovuti ya Gavana http://www.karabuk.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/karabük

Mji mkuu wake ni Karabük ambao upo kilomita 200 kaskazini mwa mji wa Ankara na takriban kilomita 100 kutoka kusini mwa pwani ya Bahari Nyeusi.

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Karabük katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karabük kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.