Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (Zambia)

Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (North-Western Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 583,350 kwenye eneo la 125,827 km². Mji mkuu ni Solwezi.

Mahali pa mkoa wa Kaskazini-Magharibi katika Zambia

Jiografia hariri

Miji mikubwa ni pamoja na Solwezi na Mwinilunga.

Kabompo na Zambezi ni mito muhimu zaidi.


 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. 
Mikoa ya Zambia
 
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki
+/-