Mkoa wa Kusini (Zambia)
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Kusini.
Mkoa wa Kusini (Southern Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,212,124 kwenye eneo la 85,283 km². Mji mkuu ni Livingstone.

Jiografia Edit
Miji mikubwa ni pamoja na Livingstone na Kalomo.
Picha za Kusini Edit
-
Livingstone
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kusini (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |