Mkoa wa Magharibi (Zambia)
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Magharibi.
Mkoa wa Magharibi (Western Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 765,088 kwenye eneo la 126,386 km². Mji mkuu ni Mongu.

Jiografia Edit
Miji mikubwa ni pamoja na Mongu, Sesheke na Senanga.
Zambezi na Lungwebungu ni mito muhimu zaidi.
Picha za Magharibi Edit
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Magharibi (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |