Mkoa wa Luapula

Mkoa wa Luapula ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 775,353 kwenye eneo la 50,567 km². Mji mkuu ni Mansa.

Mahali pa mkoa wa Luapula katika Zambia

JiografiaEdit

Miji mikubwa ni pamoja na Mansa na Nchelenge.

Luapula na Chambeshi ni mito muhimu zaidi.

Picha za LuapulaEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Luapula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. 
Mikoa ya Zambia
 
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki
+/-