Mkoa wa Kastamonu
Kastamonu ni mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika Kanda ya Bahari Nyeusi , kaskazini mwa nchi. Umezungukwa na Sinop upande wa mashariki, Bartın na Karabük upande wa magharibi, Çankırı upande wa kusini, Çorum upande wa kusini-mashariki na Bahari Nyeusi upande wa kaskazini.
Mkoa wa Kastamonu | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kastamonu nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 13,108 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 322,759 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 37 |
Kodi ya eneo: | 0366 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kastamonu.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kastamonu |
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Kastamonu umegawanyika katika wilaya 20 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- Kastamonu culture & travel guide Archived 13 Mei 2008 at the Wayback Machine.
- Pictures of the capital of this province - with link to a Kasaba gallery
- Kastamonu Weather Forecast Information Archived 7 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Kastamonu Travel & Tourism Information
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kastamonu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |