auto

Mkoa wa N'Zi (kwa Kifaransa: Région du N'Zi) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa N'Zi
Mahali paMkoa wa N'Zi
Mahali paMkoa wa N'Zi
Mahali pa Mkoa wa N'Zi (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lacs
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lacs
Serikali[1]
 - Prefect N’guessan Obouo Jacques
 - Rais wa Baraza Koffi Bernard N'guessan
Eneo[2]
 - Jumla 19,560 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 247,578
GMT (UTC+0)

Uko katika Kituo ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Dimbokro. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 247,578.

N'Zi kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "N'Zi" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.