Uingereza Kaskazini-Magharibi
(Elekezwa kutoka Mkoa wa North West (Uingereza))
Uingereza Kaskazini-Magharibi (Kiing.: North West England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 6,853,200. Mji wake mkuu ni Manchester.
North West England | |
Mahali pa Uingereza Kaskazini-Magharibi katika Uingereza | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Manchester |
Eneo | |
- Jumla | 14,165 km² |
Idadi ya wakazi (2006) | |
- Wakazi kwa ujumla | 6,853,200 |
Tovuti: http://www.4nw.org.uk/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kaskazini-Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber |