Mkoa wa Sud-Comoé
Mkoa wa Sud-Comoé (kwa Kifaransa: Région du Sud-Comoé) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Mkoa wa Sud-Comoé | |
Mahali pa Mkoa wa Sud-Comoé (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Comoé |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Comoé |
Serikali[1] | |
- Prefect | Boni Kouassi Albert |
- Rais wa Baraza | Aka Aouélé |
Eneo[2] | |
- Jumla | 7,189 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 642,620 |
GMT | (UTC+0) |
Uko katika Mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Aboisso. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 642,620.
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Sud-Comoé" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sud-Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |