Jimbo la Comoé
Jimbo la Comoé (kwa Kifaransa: District du Comoé) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko mashariki mwa nchi [1].
Jimbo la Comoé | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 6°4′34″N 3°18′29″W / 6.07611°N 3.30806°W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Comoé |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,203,052[1] |
Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,203,052[1].
Makao makuu yako Abengourou.
Mikoa
haririMarejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |