auto

Mkoa wa Tchologo (kwa Kifaransa: Région du Tchologo) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa Tchologo
Mahali paMkoa wa Tchologo
Mahali paMkoa wa Tchologo
Mahali pa Mkoa wa Tchologo (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Savanes
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Savanes
Serikali[1]
 - Prefect Soualoho Diakite
 - Rais wa Baraza Lassina Koné
Eneo[2]
 - Jumla 17,728 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 467,958
GMT (UTC+0)

Uko katika Kaskazini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Ferkessédougou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 467,958.

Tchologo kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Tchologo" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.