Mkoa wa Tokat
Tokat ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unapakana karibu kabisa na mikoa ya jirani kama vile Amasya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Yozgat upande wa kusini-magharibi, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini-mashariki. Mji mkuu wake ni Tokat, ambao umelalia katika kwenye eneo la Kanda ya Bahari Nyeusi, takriban kilomita 422 kutoka mjini Ankara.
Mkoa wa Tokat | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Tokat nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 9959 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 869422 (makadirio 2006) TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 60 |
Kodi ya eneo: | 0356 |
Tovuti ya Gavana | http://www.tokat.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/tokat |
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Tokat umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tokat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |