Mkutano wa Kimataifa juu ya Haki za Binadamu
(Elekezwa kutoka Mkutano wa dunia juu ya haki za binadamu)
Mkutano wa Kimataifa juu ya Haki za Binadamu ulifanywa na Umoja wa Mataifa mjini Vienna nchini Austria tarehe 14 mpaka 25 Juni 1993[1]. Ulikuwa mkutano wa kwanza wa haki za binadamu uliyofanyika tangu kumalizika kwa vita baridi vya Dunia.
Matokeo ya mkutano huo yalikuwa Azimio la Vienna na Mpango wa Utendaji.[1]
Historia
haririIngawa Umoja wa Mataifa ulikuwa umeshughulika kwa muda mrefu katika uwanja wa haki za binadamu, [2] mkutano wa Vienna ulikuwa mkutano wa pili wa kuzingatia haki za kibinadamu, na wa kwanza ulikuwa Mkutano wa Kimataifa wa Haki za Binadamu uliofanyika Teheran, Iran , wakati wa Aprili-Mei 1968 kuashiria kumbukumbu ya miaka ishirini ya Azimio la ulimwengu la Haki za Binadamu. [3].
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Norchi, Charles (2004). "Human Rights: A Global Common Interest". Katika Krasno, Jean E. (mhr.). The United Nations: Confronting the Challenges of a Global Society. Lynne Rienner Publishers. uk. 87. ISBN 1-58826-280-4.
- ↑ "Timeline: Human Rights Conventions". Al Jazeera. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Proclamation of Tehran, Final Act of the International Conference on Human Rights, Teheran, 22 April to 13 May 1968". U.N. Doc. A/CONF. 32/41 at 3 (1968) via University of Minnesota Human Rights Library. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
hariri- World Conference on Human Rights at United Nations website
- [http://web.archive.org/20120505000432/http://www.freetibet.org/about/dalai5 Archived 5 Mei 2012 at the Wayback Machine. A speech given by His Holiness the Dalai Lama to the United Nations World Conference on Human Rights, Vienna, Austria, June 1993.