Mkuu wa jimbo (kwa Kilatini: Ordinarius loci) katika Kanisa Katoliki[1] ni mkleri (askofu au padri) ambaye ana mamlaka ya kisheria ya kudumu[2] juu ya jimbo (dayosisi au lingine).

Papa Pius XI katika dirisha la kioo cha rangi la kanisa kuu la Honolulu, Hawaii, kama mkuu wa Kanisa la Roma na la Kanisa Katoliki lote miaka 1922 - 1939, akiwa pamoja na askofu Stephen Alencastre, makamu wake kwa Sandwich Islands.

Mamlaka hiyo anaweza kuwa nayo kutokana na cheo chake mwenyewe (hasa Askofu wa jimbo) ama kama makamu wa mwenye cheo (hasa makamu wa askofu)[3].

Utaratibu kama huo unafuatwa na Waanglikana[4]. Waorthodoksi wanatumia msamiati tofauti[5].

Tanbihi

hariri
  1. See, e.g., c. 134 § 1, Code of Canon Law, 1983
  2. c. 135 §1, Code of Canon Law, 1983
  3. § 2, Code of Canon Law, 1983
  4. Oxford Dictionary of the Christian Church (1974) arts. "Ordinary" and "Peculiar"
  5. c. 984, Code of Canons of the Oriental Churches, 1992
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkuu wa jimbo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.