Mlima Agung ni mlima wenye kimo cha m 3,142 juu ya usawa wa bahari.

Mlipuko wa mlima Agung 27-11-2017

Uko Indonesia katika kisiwa cha Bali.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Agung kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.