Mlima Hanang ni jina la mlima mkubwa ulioko katika Mkoa wa Manyara nchini Tanzania. Hanang ni mlima wa volkeno ikiwa volkeno ya kusini zaidi kati ya volkeno za Tanzania kaskazini.

Mlima Hanang.

Pia yake huwa na kipenyo cha kilomita 10-12, na kreta kwenye kilele huwa na kipenyo cha kilomita 2.[1]

Una urefu wa mita 3,417 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. DAWSON , J. B. 2008. The Gregory Rift Valley and Neogene –Recent Volcanoes of Northern Tanzania. Geological Society, London, Memoirs, 33, ukurasa 71f

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Hanang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.