Mlima Kanjiroba

Mlima Kanjiroba (katika lugha ya Kinepali: कान्जिरोबा) ni mlima unaopatikana katika safu ya milima ya Himalaya nchini Nepal upande wa mashariki katika mkoa wa Dolpa [1] ukiwa na urefu wa mita 6,883 juu ya usawa wa bahari na latitudo 29º 22’ 23” N na longitudo 82º 38’ 35”E [2]

Mlima Kanjiroba uliopo Dolpa, nchini Nepal

MarejeoEdit

  1. Mount Kanjiroba (6,883m) Expedition. www.gototrek.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-02-23. Iliwekwa mnamo 2020-03-05.
  2. Kanjiroba Expedition, Kanjiroba Climbing, Kanjiroba Base Camp, Kanjiroba Himal. www.culturaltreks.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-02-04. Iliwekwa mnamo 2020-03-05.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Kanjiroba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.