Mlima Karisimbi ni mlima wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wa Rwanda (Afrika). Una asili ya volikano.

Mlima Karisimbi.

Urefu wake unafikia mita 4,507 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Karisimbi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.