Mlima Musala
Mlima Musala ni mlima mrefu kuliko yote ya Balkani (Ulaya). Uko katika nchi ya Bulgaria, milima ya Rila.
Urefu wake ni mita 2,925 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Musala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |