Rila ni milima ya Balkani (Ulaya), katika nchi ya Bulgaria.

Mlima Rila

Urefu wake katika mlima Musala unafikia mita 2,925 juu ya usawa wa bahari, ukizidi milima yote ya Balkani.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.